ANNA NICHOLAUS KYAMBA

Lecturer and Coordinator of Quality Assurance, Institute of Kiswahili Studies (IKS)., Institute of Kiswahili Studies
Education:

2015 – 2018: PhD (Kiswahili) Coursework & Thesis:

Teaching:

KF 103: Nadharia na Uhakiki wa Fasihi ya Kiswahili

KF 205: Uandishi wa Kubuni kwa Kiswahili: Nadharia

KF 220: Uandishi wa Kubuni kwa Kiswahili: Vitendo

KF 219: Falsafa ya Kiafrika katika Fasihi ya Kiswahili

KF 619: Mwandishi Teule

Research:

Falsafa, Nadharia, Mwingilianomatini katika Fasihi.

Publications:

Mwaka 2022: Uhalisiamazingaombwe katika Riwaya za Shaaban Robert: Kusadikika na Kufikirika. Katika Mwanga wa Lugha. Juz. 7 Na. 1: 103-116.

Mwaka 2018: Mbinu za Kisanaa Zinazosawiri Falsafa ya Ubuntu katika Tamthiliya ya Tambueni Haki Zetu. Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika: Kwa Heshima ya Prof. M.M. Mulokozi. (159-179).

 

Mwaka 2018: Ushairi wa Mnyampala kama Hifadhi ya Historia ya Jamii ya Tanzania.   Mwanga wa Lugha. Juz. Na 2 (1) 111-126.

Mwaka 2016: Muundo wa Diwani ya Mnyampala (1965) na Nafasi yake katika Kuibua Maudhui. Kioo cha Lugha: Juz Na 14:123-145.